NYIMBO NA TUZIIMBe tena
TTN 69
Nyimbo na tuziimbe tena Za alivyotupenda mbele; Kwa damu ya thamani sana!
Mbinguni twonane milele.
Twonane milele, Twonane bandarini kule; Twonane milele, Twonane bandarini kule.
Hupozwa kila aoshwaye, Kwa damu ya Kondoo yule; Ataishi afurahiye
Vya Yesu mbinguni milele.
Hata sasa hufurahia Tamu yake mapenzi yale, Je,kwake tukifikilia, Kutofarakana milele?
Twende mbele kwa jina lake,
Hata aje mwokozi yule, Atatukaribisha kwake, Tutawale naye milele.
Na beramu tuikunjue Kumsifu mwokozi yule lli watu wote wajue Wokovu u kwake milele
YESU BWANA WANGU ANIPENDA
TTN 194
Yesu Bwana wangu anipenda,
Nguvu zote hazitatutenga;
Akatoa uzima wake,
Niwe mali yake.
(chorus)
Yesu ni Bwana wangu,
Mimi mali yake;
Si kwa muda wa miaka tu,
Bali kwa milele.
Nilipotea mbali dharnbini,
Yesu akaja toka mbinguni; Akanivuta na pendo lake,
Niwe mali yake.
Furaha tele, nimeokoka, Kutoka dhambi nimefunguka;
Akaniponya kwa damu yake,
Niwe mali yake.
REHEMA YA BABA YETU
TTN 44
Rehema ya Baba yetu,
Yang'aza nchi yake;
Lakini ametuweka
Tuwe walinzi wake.
​
(Chorus)
Taa zenu na ziwake,
Nuru zenu tumeni;
Msafiri asizame,
Mwokoeni majini.
Giza ya dhambi twaona,
Mawimbi twasikia;
Wengine wanatafuta
Nuru za kutulia.
Taa zitengenezeni,
Mwokoeni msafiri;
Aangukaye majini,
Na asife gizani.
3
Way maker
You are here, Moving in our midst
I worship you, I worship you
You are here, Working in this place
I worship you, I worship you
You are here, Moving in our midst
I worship you, I worship you
You are here, Working in this place
I worship you, I worship you
Way maker, Miracle worker
Promise keeper, Light in the darkness
My God, That is who you are
Way maker, Miracle worker
Promise keeper, Light in the darkness
My God, That is who you are
You are here, Touching every heart
I worship you, I worship you
You are here, Healing every heart
I worship you, I worship you
You are here, Turning lives around
I worship you, I worship you
You are here, Mending every heart
I worship you, I worship you
Way maker, Miracle worker
Promise keeper, Light in the darkness
That is who you are
Way maker, Miracle worker
Promise keeper, Light in the darkness
My God, That is who you are
You wipe away all tears
You mend the broken heart
You're the answer to it all, Jesus
You wipe away all tears
You mend the broken heart
You're the answer to it all (to it all), Jesus
Way maker, Miracle worker
Promise keeper, Light in the darkness
My God, That is who you are
Way maker, Miracle worker
Promise keeper, Light in the darkness
My God, That is who you are
You are here, Touching every life
I worship you, I worship you
You are here, Meeting every need
I worship you, I worship you